Longhorn: Usalama wa Sudi na Shada GD2

by Wekesa


Sudi na Shada ni wananaujali na kuudumisha usalama wao kila mahal. Wanapokuwa shuleni, Shada anaumia wakicheza uwanjani. Sudi anashirikiana na wenzake kumsaidia Shada. Je, Shada anaumiaje? Sudi na wenzake wanamsaidiaje Shada?

Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

ISBN: 9789966642035 SKU: 2010143001094
KES 258
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect