Mabandia (Oxford)

by Ali Attas


Mabandia ni tamthilia inayopiga kurunzi ubandia unaojificha na kujifichua kwa sura_ mbalimbali maishani. Maisha ni kama karata. Wahusika sita wanajitokeza katika maonyesho sita wakifululiza hadi barazani kucheza duru sita za mchezo maarufu wa Wahedi wa Sitini. Mchezo huu huchezwa hasa katika maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki.

Kupitia vitendawili vinavyoibuka katika maonyesho mbalimbali, mwandishi anagubika hoja kadhaa za ubandia. Hoja hizi zinalenga kutafakarisha jinsi ubandia huo unavyoathiri mitazamo ya binadamu katika nyanja mbalimbali za maisha.

ISBN: 9780195747324 SKU: 2010143001119
Out of stock
KES 348

You can get an email alert when this product is back in stock.

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect