Mahari na Mali

by Emmanuel Kariuki


“Wakati Mlexus alipokuwa akiliendesha gari lake, nilimtupia jicho mara kwa mara. Nilikuwa nimezizoea zile kucha za Chiriku za rangi nyekundu. Za huyu dada zilikuwa za mseto wa rangi tatu: nyeusi, zambarau na mistari mieupe. Michoro hiyo iliambatana na nakshi za rinda lake. Ukiongezea na manukato yale, ungelihisi ukiwa karibu na binti wa sultani - ama kweli uchumi ulikuwa umenionea!”

ISBN: 9789966259714 SKU: 2010143000759
KES 692
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review