Malenga wa Ziwa Kuu


Malenga wa Ziwa Kuu ni kitabu kilichokamilika kwa manufaa ya wanafunzi wa Kidato cha Nne. Maswali na Mazoezi yaliyomo yatawasaidia wanafunzi katika kuupima uwezo wao wa kishairi. Makusudi ya utangulizi wake mrefu ni kumjulisha msomaji aina tofauti tofauti za mashairi. Vile, vile, utampa fununu juu ya historia ya ushairi na umuhimu wa mashairi katika maisha ya binadamu. Bila shaka kitabu hiki kitazipanua, bongo za wanafunzi juu ya ushairi na kumnufaisha yeyote yule anayejishughulisha na uwanja huu wa fasihi.

KES 672
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect