Mashairi ya Wanyama 5e

by Ali hassan Kauleni, Elvera Shabiha


Sina chembe ya uzuri, mbali na mimi kaeni ... ni mojawapo ya sifa anazojipatia mnyama huyu ambaye ni mmoja wa wanyama wanaozungumza kwenye kitabu hiki. Je, wanyama hawa wanasema nini kuhusu sifa zao? Je, wanaamini kuwa wana umuhimu gani kwa binadamu? Je, wanyama hawa wana malalamishi yapi kuhusu jinsi binadamu wanavyowachukulia?Kitabu hiki chenye mashairi ya kupendeza kinalenga kuwasaidia wanafunzi kutambua sifa na umuhimu wa wanyama mbalimbali. Kadhalika kitabu hiki kitawafunza wanafunzi kusoma na kufurahia ushairi.Mashairi ya Wanyama ni mojawapo ya vitabu katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na Kozi ya Kiswahili Sanifu.

ISBN: 9780195739848 SKU: 2010143000775
KES 296
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect