Maskini Milionea na Hadithi Nyingine
by Ken Walibora
- ISBN: 9780195738056
- SKU: 2010143000683
Maskini Milionea na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoakisi hali katika maisha ya wanadamu; hisia zao, changamoto na ufanisi wao. Ubora wa hadithi katika mkusanyiko huu haumo tu katika uanuwai wa fani na maudhui, bali pia kwenye mseto wa ufundi wa wachangiaji ambao wana asili na mitazamo tofautitofauti.Hadithi hizi zilizoandikwa na waandishi kutoka maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki ni mchango mkubwa katika utanzu wa hadithi fupi za Kiswahili.
KES 499

Customer Reviews
This product does not have any reviews yet - be the first to write one.