Mentor Kielekezi cha Kiswahili Grade 4 (Approved)
KIELEKEZI cha Kiswahili Gredi ya 4 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya unaozingatia umilisi.
Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.
Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:
(i) Kusikiliza na Kuzungumza
(ii) Kusoma
(iii) Kuandika
(iv) Sarufi
KES 640
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect