Mentor Kielekezi cha Kiswahili Gredi 7

by Mentor


Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 7 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu yanayotarajiwa.

Kitabu hiki:

-Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha; Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.

-Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka katika mazingira tofautitofauti.

-Kimeshughulikia masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira, elimu ya maendeleo endelevu, teknolojia na afya bora.

-Kina mazoezi muhimu ya kumtathmini mwanafunzi na pia kujitathmini.

-Kina Zoezi la Tathmini mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi.

-Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Wanaelewa vyema mahitaji ya mwanafunzi na mwalimu katika somo la Kiswahili na mtaala wa kiumilisi.

ISBN: 9789914735055 SKU: BK00000007994
KES 740
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect