Mentor Kielekezi cha Shughuli Gredi 1


KIELEKEZI cha Shughuli za Kiswahili Gredi 1 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaala mpyaunaozingatia umilisi.

Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.

Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.

Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:

(i) Kusikiliza na Kuzungumza 

(ii) Kusoma

(iii) Kuandika

(iv) Msamiati

(v) Sarufi

KES 500
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect