Mfalme na Majitu

by Omolo


Mfalme na Majitu ni hadithi inayomhusu mfalme jaba Nene, kiongozi wa nchi ya Undurubo ambaye kwa ujinga na anasa yake, alikufa kifo cha kutisha. Hadithi hizi zimeandikwa na Bwana Leo Odera Omolo. Bwana Omolo ametumia ujuzi wake kuandika hadithi zilizo na mafunzo kwa vijana waanzao kujifunza lugha ya Kiswahili. Kadhalika, hadithi hizi zina mifano mingi ya manufaa kwa watoto katika ujenzi wa utu wema.   

ISBN: 996647244x SKU: 2010143000256
KES 188
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect