Mgeni Njoo!

by Ahmed Hussein


Mgeni njoo! 2d ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Kwanza katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi.
  • kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, tanakali za sauti, kichekesho na picha za rangi zenye kusisimua.
  • kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani, malezi, utoto, afya, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, haki za watoto na kuishi kwa utangamano.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. Vitabu vingine katika kiwango hiki ni:

ISBN: 9780195734539 SKU: 2010143000428
KES 249
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect