Miali ya Insha

by EAEP


Miali ya Insha ni mwongozo thabiti utakaomwezesha mwanafunzi na mwalimu kutimiza malengo ya ufundishaji wa insha katika shule za upili lengo kuu likiwa kuwasiliana. Kitabu hiki ni silaha adimu na adhimu kwa mwanafunzi na mwalimu katika kuimudu insha na kujihami dhidi ya mtihani wowote.

ISBN: 2010127000579 SKU: 2010127000579
KES 548
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect