Misingi ya Sarufi ya Kiswahili

by John Habwe


Misingi ya sarufi ya lugha yoyote ile huwa katika Mofolojia (muundo wa maneno), Fonetiki (sauti), Sintaksia (muundo wa sentensi), Semantiki (maana) na Isimu (dhana ya lugha) yake. Kitabu hiki kimeishughulikia misingi hii katika muktadha wa Kiswahili. Kwa mara ya kwanza vipengele vyote husika vimeelezwa na kuchambuliwa kwa Kiswahili. Matokeo ni johari ambayo itawafaa wanafunzi wa Shule za Upili, Vyuo vya Walimu na Vyuo Vikuu. Vilevile, wapenzi wa lugha watanufaika kutokana na maelezo mwafaka ya muundo na ufanyikazi wa Kiswahili.

ISBN: 9789966472403 SKU: 2010129000009
KES 702
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect