Miujiza ya Majini

by Moran


"Baba! Angalia ziwani. Kuna viboko!” Adamu aliinuka, akasimama haraka huku macho yake yakilenga kule walikoibuka wale viboko. Jelani naye akakurupuka kando ya kaka yake mkubwa. "Jelani, angalia wale viboko kule. Tabia yao si ya kawaida. Wanaonekana wamepagawa," Adamu alisema huku sura yake Ikifinya. Mishale ya msisimko ilimchoma. "Wamepagawa? Mbona sijakuelewa kaka." "Kawaida wakiibuka na kuonyesha tabia hiyo, huwa kuna kiumbe mwingine hatari karibu nao," Adamu alitamka. 

ISBN: 9789966630032 SKU: 2010143000914
KES 313
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review