Mizani Yangu


Kineene wa Mutiso ni mshairi aliyehitimu katika fani hii. Katika mwaka wa 1985 alituzwa shahada ya M.A. kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi. Kwa hivi sasa ni mhadhiri wa Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Hankuk, Korea ya Kusini. Diwani hii ya kusisimua inafaa sana kwa fasihi hasa katika shdle za upili. Mashairi haya yaliyomo yameandikwa kwa lugha fasaha na mahadhi yatakayowapendeza wasomaji wengi. Nyumba nzuri si mlango, fungua uingie ndani.

KES 369
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect