Moran CBC Breakthrough Kiswahili Workbook Gredi 6


CBC Breakthrough Workbook Kiswahili, Gredi ya 6 ni kitabu cha mazoezi kilichoandikwa kwa ubunifu ili kumpa mwanafunzi nafasi ya kujitathmini. Mazoezi yaliyomo yametungwa kutokana na mada ndogo za Kiswahili Gredi ya 6 kulingana na mtaala wa kiumilisi. 

ISBN: 9789966633569 SKU: BK00000005660
KES 534
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect