Moto wa Kuku 3c

by Nandwa


Zamani sana kuku waliishi na wanyama wengine kwa amani. Siku moja baada ya mvua kunyesha, maji yalizima moto kila mahali. Wanyama walitaka kuwakisha moto ili kupunguza baridi. Walipoenda kwa kuku kuomba moto, waligundua kuwa nyundu za kuku si moto. Wanyqma walipojua hilo, walianza kuwatisha kuku. Je, kuku watafanya nini?

ISBN: 9789966342485 SKU: 2010143000327
KES 232
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect