Msichana wa Mbalamwezi

by Wamitilia


Msichana wa Mbalamwezi ni hadithi ya kusisimua inayoyasimulia masaibu ya Yosi Kanga ambaye mambo yake yamemnyookea pakubwa hadi siku moja baada ya chakula cha mchana. Hadithi hii inamnasa msomaji kutokana na taharuki kubwa inayomteka sio tu msimulizi mwenyewe bali pia msomaji wa hadithi hii. Msomaji anajipata akijiuliza ni nini hasa kilichomsibu Yosi, msimulizi wa hadithi? Je, msichana wa mbalamwezi ni nani? Hii ni hadithi ambayo bila shaka msomaji atafurahia kuisoma.

ISBN: 9966773738 SKU: 2010143000648
KES 408
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect