Msingi wa Insha kwa Wanafunzi

by Mutahi Miricho


Kimsingi, MSINGI WA INSHA ni kitabu cha msingi kwa shule za msingi kinachotupa msingi wa uandishi bora wa insha.

MSINGI WA INSHA ni kitabu cha kipekee ambacho kinachochea fikra za mwanafunzi kuandika insha ipasavyo kwa njia ya kuvutia, sawasawa, kwa ubunifu na kwa mtiririko ufaao. Baadhi ya mambo muhimu yaliyoshughulikiwa ni:

  • Wanachoangalia watahini
  • Namna ya kuibua maudhui
  • Mitindo ya kuvutia
  • Sentensi na aya
  • Msamiati, methali na fani nyingine za insha
  • Insha za KCPE.

Kitabu hiki ni johari kwa wanafunzi na walimu katika madarasa yote ya juu katika shule za msingi ambapo insha huchukua zaidi ya 40% (asilimia arobaini) ya alama za mtihani wa Kiswahili kwenye KCPE.

ISBN: 9789966223029 SKU: 2010127000147
Out of stock
KES 370

You can get an email alert when this product is back in stock.

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect