Mtoto wa Mfugaji


Wazee waliokuwa wakicheza bao baada ya kula na kushiba walizungumzia habari za Zabibu, msichana aliyeishi nchi ya Kimelenge. "Uzuri wa msichana huyo hauna mfanowe, si hapa kwetu wala kule kwao Kimelenge," alisema mzee mmoja. "Inaelekea ni mzuri wa ajabu," Mzee mwingine alidakia. "Lakini kwani ana nini zaidi? Na kwa nini hajaolewa?"
KES 469
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect