MTP Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 1

by Beatrice Kituu


Kitabu hiki kinamsaidia mwanafunzi kuweza:

Kutumia mbinu zifaazo za usikivu katika mawasiliano katika mazingira yake. 

Kudhihirisha ufasaha wa kuzungumza kwa Kiswahili. 

Kusoma kwa ufasaha na kufahamu aina zozote za maandishi ya Kiswahili. 

Kuelezea mawazo, hisia na tajiriba kwa maandishi ya mkono au mbinu nyingine yoyote ya uwasilishaji. 

Kutumia sarufi ipasayyo katika mawasiliano.

Kutumia msamiati ufaao katika mazingira yake kuwasiliana. 

Kuonyesha ukakamavu katika kuwasitisha masuala yanayomkabili na yanayokabili mazingira yake. 

ISBN: 197019732018016 SKU: 2010127000729
KES 383
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect