MTP Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 2

by MTP


Baada ya kukitumia hiki kitabu, mwanafunzi ataweza; 

  • Kutumia mbinu zifaazo za usikivu katika mawasiliano katika mazingira yake. 
  • Kudhihirisha ufasaha wa kuzungumza 
  • Kusoma kwa ufasaha no kufahamu aina zozote za maandishi.
  • Kuelezea mawazo, hisia na tajiriba kwa maandishi ya mkono au mbinu nyingine yoyote ya uwasilishaji. 
  • Kutumia sarufi ipasavyo katika mawasiliano. 
  • Kutumia msamiati ufaao katika mazingira yake kuwasiliana. 
  • Kuonyesha ukakamavu katika kuwasilisha masuala yanayomkabili na yanayokabill mazingira yake 
SKU: 2010127000730
KES 383
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect