Mui Huwa Mwema

by Ali Jamaadar


Hii ni hadithi ya Kotini, kijana ambaye alikuwa mui-mwivi, mnyangianyi na mcheza kamari; na mwishowe akabadilika kabisa na kuwa mwema - mtu mwenye heshima na kuheshimiwa, tena mjenzi maarufu wa majumba. Pia ni hadithi ya Mashaka, msichana mzuri, wa umbo na tabia, ambaye maisha yake yanaingiliana na Kotini na kuathirika kwa mabaya na mwishowe kwa mema yake. Ilikuwaje hata Kotini akabadilika mwenendo na kuwa mtu mwema? Haya mwandishi anayaeleza kwa ustadi na ufasaha. Pia maelezo yake na msamiati alioutumia kuhusu ujenzi wa majumba utawapendeza na kuwanufaisha sana wanafunzi wa lugha ya kiswahili.

ISBN: 9966497161 SKU: 2010143000219
KES 452
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect