Musa na Rafiki wa Barua

by Barbara Kimenye


Ari ya kuwasiliana na marafiki wa barua inashabikiwa sana katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Si ajabu kwamba Musa na King Kong wamo katika wimbi hilo la msisimko. 

Kando na hayo, Kasali — mvulana mgeni — anatengeneza mvinyo kwa mashine aliyoificha kwenye bweni. Kila anayeuonja anakiri kwamba ni mvinyo mzuri sana, na hata kuhusudu hall ya baadaye ya Kasali katika biashara ya mvinyo. Hata hivyo, majaribio anayoifanyia fomyula ya mvinyo huo inabadilisha pakubwa historia ya Taasisi ya Mukibi. 

Musa na Rafiki wa Barua ni kitabu cha none katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye 

ISBN: 9780195739640 SKU: 2010141002209
KES 429
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review