Musa na Shamba la Shule

by Barbara Kimenye.


Wazo la kuanzisha shamba la shule linawafanya wanafunzi wa Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen kuandaa mgomo baridi. Kwa madai yao wenyewe, wako shuleni 'kusomea mitihani' wala si kuwa mashokoa wa mwalimu mkuu. Mzee Mukibi. Hata hivyo, hakuna aliye tayari kumkabili mwalimu mkuu kwa kuhofia kuonekana muasi.Masaibu ya Musa na marafiki zake yanazidi kufuatia 'kutoweka' kwa nguruwe dume, na kuku sita kuibwa. Mwalimu mkuu naye ameapa kufanya juu chini kuwanasa wezi.Musa na Shamba la Shule ni kitabu cha kumi na moja katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.

ISBN: 9780195739633 SKU: 2010143000725
KES 429
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect