Mwanakijiji Na Miwani Na Hadithi Nyingine (Hadithi za Mashairi 2-)

by Wamitila


Mwanakijiji na miwani na Hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi mbili za kufurahisha na kuchangamsha. Katika mwanakijiji na miwani,kuna mwanakijiji anayetamani kusoma kama wengine na anaamini kuwa siri ya kusoma ni miwani. Je, anafanya nini ili aikamilishe ndoto yake? Je, ni nini matokeo ya juhudi zake? Hadithi ya pili ,mkulima na mwanawe, inamhusu mkulima na wanawe wabishi. Je, atafanya nini ili kuhakikisha kuwa wamebadilisha tabia zao?

ISBN: 9789966773104 SKU: 2010143000138
KES 215
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect