Mwanasayansi 2f
by Egara Kabaji
Mwanasayansi 2f ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la pili katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Tami anataka kuwa mwanasayansi. Atafanya nini Hi afikie ndoto yoke?Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
KES 230
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect