Mwandishi, Msomaji na Mchapishaji

by K W Wamitila


Mwandishi ameitikia wito wa Mchapishaji kuijadili hadithi yake ambayo Msomaji ameshasema si ya kawaida.Humo ndani imo jamii yake Mwandishi inayoshuhudia mabadiliko makubwa. Wakulima hawavuni kama zamani. Baadhi yao wameyapoteza mashamba yao na wanaishi kwenye mahema. Mito imekauka. Misituni miti inakatwa. Anayeikata hajulikani. Watu hawadhibitiki tena. Washirika wa kimaendeleo nao wamechacha. Serikali haijui ifanye nini.Ni nini kilichozidi? Mjadala wa Mwandishi, Msomaji na Mchapishaji unaishia wapi? Hadithi ya Mwandishi itachapishwa? Kama itachapishwa, wasomaji wake watasema nini kuihusu?

ISBN: 9789966773999 SKU: 2010143000803
KES 350
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect