Mwongozo wa Chozi la Heri (Globalink)

by Matei


Katika mwongozo huu Peter Kilonzo na Gladys Masaku wamezama kwa kina katika kuangalia nguzo muhimu za fasihi ya Kiswahili. Baadhi ya vipengele ambavyo wamevichambua ni jalada na anwani ya riwaya hii. Pia, wameangalia kwa undani dhamira na maudhui ya Chozi la Heri. Isitoshe, wamewaangalia wahusika kwa jicho pevu, huku wakitoa sifa na umuhimu wao kwa njia inayoeleweka wazi. Hawajasahau kuzipigia mbinu za lugha na uandishi darubini. Kwa kweli mwongozo huu unanuia kumkuza mwanagenzi chipukizi katika uwanja wa fasihi.

ISBN: 9789966766755 SKU: 2010129000213
KES 405
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review