Mwongozo wa tamthilia ya Kigogo (Globalink)

by Kilonzo, Masaku


MWONGOZO WA KIGOGO Katika mwongozo huu Peter Kilonzo na Gladys Masaku wamezama kwa kina katika kuangalia nguzo muhimu za fasihi ya Kiswahili. Baadhi ya vipengele ambavyo wamevichambua ni jalada na anwani ya tamthilia hii. Pia, wameangalia kwa undani dhamira na maudhui ya Kigogo. Isitoshe, wamewaangalia wahusika kwa jicho pevu, huku wakitoa sifa na umuhimu wao kwa njia inayoeleweka wazi. Hawajasahau kuzipigia darubini. Kwa kweli mwongozo huu unanuia kumkuza mwanagenzi chipukizi katika uwanja wa fasihi

ISBN: 2010129000198 SKU: 2010129000198
Out of stock
KES 400

You can get an email alert when this product is back in stock.

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect