Mwongozo wa Tumbo lisiloshiba na Hadithi Nyingine (climax)
by Samson Kea, Monika Faith, Paul N. Ngethe, Peter K. M
Mwongozo huu wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine umeandikwa na paneli ya Kiswahili ya Kitele cha Lugha, iliyoko mjini Nairobi.
Paneli hii inajumulisha waalimu woliobobea katika kufunza na kutahini mtihani wa kitaifa wa somo la fasihi.
Mwongozo huu unalenga kuwasaidia waalimu na wanafunzi wa shule za upili katika kuelewa mkusanyiko wa hadithi fupi na pia kuwasaidia kuitayarisha katika mtihani wa kitaifa (K.C.S.E)
Mwongozo huu umejadili;
Ufaafu wa anwani
Mtiririko wa vitushi
Dhamira
Maudhui
Mbinu za uandishi
WahusIka na sifa zao
Mifano ya Maswali na Majibu
KES 415

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect