Mwongozo wa Tumbo Lisiloshoba (Globalink)

by Kilonzo, Masaku


MWONGOZO WA TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINE .

Katika mwongozo huu Peter Kilonzo na Gladys Masaku wamezama kwa kina katika kuangalia nguzo muhimu za fasihi ya Kiswahili. Wametoa ufafanuzi wa kila anwani ya hadithi katika hadithi zote katika diwani ya Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine. Aidha, wamceangalia kwa undani dhamira na maudhui katika diwani hii. Tsitoshe, wamewaangalia wahusika kwa jicho pevu, huku wakitoa sifa na umuhimu wao kwa njia inayoeleweka wazi. Hawajasahau kuzipigia mbinu za lugha na uandishi darubini. Pia, kuna maswali ya kudurusu mwishoni mwa kila hadithi yenye muundo wa maswali ya K.C.S.E. Kwa kweli mwongozo huu unanuia kumkuza mwanagenzi chipukizi katika uwanja wa ufasihi.

ISBN: 9789966766632 SKU: 2010127000676
KES 400
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect