Naledi

by Nandwa


Nyumbani alikuwa na raha lakini shuleni alikuwa na matatizo. Unene wake wa kupindukia ulimpa Naledi taabu na kiburi chake kikazizidisha. Wanafunzi wenzake wengi walimkwepa na_ wachache waliomkaribia walifanya hivyo kwa nia ya kumchokoza. Mabadiliko ya aina fulani yangefaa.

Naledi (Utamu Kolea 4D) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaaq muhimu. Kinaweza  kutumiwa sambamba na kitabu chochote cha kozi.

ISBN: 9789966498946 SKU: 2010143000297
KES 186
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect