Naomba unisamehe

by Vusala


Naomba Unisamehe ni mojawapo ya hadithi zinazopatikana katika mfululizo wa hadithi za Nasaha Zetu zinazochapishwa na KLB. 
Hadithi hii ya kusisimua inawalenga wanafunzi wa darasa la tatu.
Maneno ya adabu ni muhimu katika mazungumzo. Humwezesha mtu kupata atakacho. Utukutu nao haufai, una madhara. 
Tambua ukweli wa usemi huu kwa kusoma hadithi hii ya kusisimua.
Miongoni mwa vitabu vingine katika mfululizo huu ni: 
• Kusema Ukweli
• Pendo na Tendo • Tutu Mtoto wa Nasari
• Musa na Sara • Hazina ya Zuena na Makombo Urafiki wa Chanda na Pete
 

ISBN: 9789966449948 SKU: 2010143000858
KES 205
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect