Nguvu ya Sala

by K.W.Wamitila


Nguvu ya Sala ni riwaya inayosimulia maisha ya Susan Ngunze na babake Richard. Richard ni mkristo anayeshikilia imani kali zilizojengwa kwenye mtazamo wa dini yake. Watoto wake wanakulia katika mazingira ya kuhimizwa kutambua umuhimu wa 'nguvu ya sala'. Je, Susan na wadogo zake wataufuata mwito huu?

ISBN: 9789966497475 SKU: 2010143000062
KES 563
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect