Nipashe Kiswahili marudio kamili ya KCPE darasa la 7 na 8

by L.G.gakono Muriuki Gikunju


NIPASHE KISWAHILI marudio kamili ya KCPE ni kitabu kilichoshughulikiwa na kuandikwa kwa utaalamu Mwingi ili kumwandaa mwanafunzi vilivyo kukabiliana na mtihani wa kiswahili katika KCPE.KARATASI ZOTE MBILI (Lugha na Uandishi) zimeshughulikiwa kupitia:-

  • Fani mbalimbali za lugha na mifano ya matumizi.
  • Maswali ya miaka iliyopita ya K.C.P.E.
  • Maelezo ya kimsingi katika uandishi.
  • Vigezo vya karatasi za K.C.P.E.
  • Mseto wa maswali ya marudio.
ISBN: 9789966152350 SKU: 2010127000559
Out of stock
KES 600

You can get an email alert when this product is back in stock.

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect