Nyota ya Kiswahili Grade 2

by Obura Odhiambo, Bwanaheri A. Salim, Dorothy K. Nganje, Nelly Kitonga


Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wo vitabu vya kiada kwa Gredi yo Pili. Kimeandikwo kuombotana no mtoloo mpyo. Kitobu hiki kimelenga kumwongoza mwonafunzi katika masomo yoke yo lugha ya Kiswahili kwa kutimiza moarubu yo mtolao wa kiwango husika. Ndani yoke mno mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yoo. Kimezingatia stadi zote zo kujifunza lugha, rani:
(i) Kusikiliza
(ii) Kuzungumza
(iii) Kusoma
(iv) Kuondika
(v) Msamiati

(vi) Sarufi

Mwanafunzi amepewa nafasi ya kujifunza mwenyewe kutokana na picha maridhawa, hadithi, mashairi na michezo murua. Ili kuzidisha hamasisho la ujifunzaji, mwongozo maalumu umeandaliwa iii kuwapa walimu mbinu thabiti za kuuchochea ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi. Ili kutathmini kiwango cha ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi kitabu hiki kimetoamazoezi ya kutosha yatakoyowowezesho kupato:
• Umilisi wa kimsingi
• Maadili ya kimsingi
• Uwezo wa kuyashughulikia masuala mtambuka

Zaidi ya hayo uchochezi huo huwafahamisha namna ya kulinganisha uhusiano wa modo watiyojifunza;

  • na masomo mengine
  • na shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji
  • na shughuli nyingine zilizoratibiwa za ujifunzaji

Kitabu hiki kimeandikwa na waandishi wenye tojiriba pevu. Womekomaa kwenye stadi ya uondishi wa vitabu vya kiado.

ISBN: 9789966511089 SKU: 2010127000721
KES 452
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect