Nyungunyungu na Konokono... Utamu ulioje

by Story Moja

by Millie Dok


Aoko and Ooko ni wanakunguru wawili wanaopenda vyakula anavyowaletea mama yao. Vyakula hivi kama minyoo, konokono na mabuu wanaonuka. Lakini wakila chakula kingi, watajifunza kuruka? Hadithi hii ya kusisimua imeandikwa kwa ukarara ili usomaji uwe wa kuvutia zaidi

ISBN: 9789966001771 SKU: 2010143000730
KES 450
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect