Orodha gani na hadithi nyingine

by Wanga

 • ISBN: 9789966202710
 • SKU: 2010143000910

Orodha Gani na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi wenye ubora wa aina yake. Umejumuisha hadithi zilizoandikwa 
na waandishi wazoefu na wanaoinukia, katika bahari ya utanzu wa hadithi fupi. Uwiano bora na usarifu wa lugha uliotumiwa 
na waandishi katika huu mkusanyiko ni wa kupigiwa mfano.
Waandishi wametumia sanaa na ubunifu wao kuangazia, maudhui mbalimbali yakiwemo ukengeushi katika ndoa na athari zake, 
aidha kuna siri mbaya ambazo zikimulikwa hadharani zinatuumiza, mfano mzuri ni jinsi orodha bandia, ilivyotia wahusika 
kiwewe, uongozi mbaya katika jamii na maudhui mengine mengi yameangaziwa.
Hata hivyo, mkusanyiko huu unanuia kumpa msomaji ari ya kusoma kazi za Fasihi ya Kiswahili, utamwelimisha na kumfurahisha vile vile.
 

KES 465

Customer Reviews

This product does not have any reviews yet - be the first to write one.

You may also like

 1. Vazi la Mhudumu
  Vazi la Mhudumu
  by Iribe mwangi
  KES 522
 2. Takrima Nono na hadithi nyingine
  Takrima Nono na hadithi nyingine
  KES 625
 3. Mfuko Mtupu na Hadithi Nyingine
  Mfuko Mtupu na Hadithi Nyingine
  KES 290
 4. Tenzi Tatu za Kale
  Tenzi Tatu za Kale
  by MM Mulokozi
  KES 490