OUP Soma Nasi Kusoma na Kuandika Gredi 1 (Approved)

by Inyega et al.


Soma Nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza,

kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza pamoja na kuwa vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na pia kufahamisha kuhusu masualaibuka.

ISBN: 9780195746945 SKU: 2010127000769
KES 470
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect