Pungwa
Pepo au shetani kama tunavyowafahamu katika utamaduni wetu, humkumba binadamu na kumtesa kwa kumtawala akili na kiwiliwili. Mtu akiwa na shetani, hawi na uzima, raha wala starehe, yeye mwenyewe, ukoo wake, watu wake na majirani wake; kwa hivyo hufanya kila awezalo apungwe ili pepo au shetani atoke....
Pepo katika tamthilia ya 'Pungwa' ni pepo walioibuka kutokana na mazingira yetu ya kisasa ... Je, hawa ni pepo tafauti?
'Pungwa' ni kazi ya sanaa ambayo mwandishi ameonyesha upeo wa usanifu katika kutumia mada ya pepo na kupunga' kwa kutekeleza shabaha za kisanaa kwa mafanikio makubwa.
KES 394

International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect