Rosa Mistika

by Euphrase Kezilahabi


Rosa Mistika—waridi lenye fumbo; uwili wa maisha. Rosa Mistika—wapo wanaomwita malaya, mzinzi mkuu, mvunja nyumba za watu; na wapo wengine wanaomwona kama msichana mwenye nafsi isiyo na hatia, msichana aliyekuwa amezingwa na kutekwa nyara na shinikizo hasi za mazingira, yakamghilibu bila ya kujitambua. Rosa Mistika—wachache wenye malezi makali wamemwita asherati. na kukataa katakata asisomwe kwa hofu ya kupotosha wengine;

ISBN: 9789966446732 SKU: 2010143000020
KES 450
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

Average rating: 5

from 2 reviews

5 2 five star reviews
4 0 four star reviews
3 0 three star reviews
2 0 two star reviews
1 0 one star reviews
Add your review

Dennis Mutemi reviewed on 19 Jun 2017

Rosa Mistika

Ni kitabu chenye kujenga taswira fika ya maisha na malezi ya mtoto wa kike na changamoto anazozipata katika jamii kutokana na malezi yenyewe, tamaduni, umasikini na mateso ya kifamilia. Pia kinaangazia kutawishwa kwa watoto wa kike na athari zake. Kisome, jamani kisome ukikimaliza machozi yatakuwa yamejaa machoni kama hayajatiririka bado.

Werqer Canaan reviewed on 10 Mar 2020

Rosa Mistika

Riwaya hii 'Rosa Mistika' yaonyesha jinsi kutenda mambo bila kuzingatia yanavyowadhuru wengine yanavyosumbua dunia hii yetu. Riwaya yasimumua kwanza hadi mwisho. A must read.

Add your review