
Safari ya Ndotoni
by Ahmed
Safari ya Ndotoni ni kitabu mwafaka cha kishairi ambacho kitawasisimua watoto kando na kuwajengea msingi imara wa utunzi wa mashairi. Mwandishi ametumia lugha ya mvuto ili kueleza 'Safari' ya msichana fulani. Je, alisafiri vipi? Alifika alikotamani? Maisha ni safari ya ndotoni kama ilivyo katika hadithi hii. Hiki ni kitabu cha kupendeza kwa watoto na kitawasaidia ku.en ea maono katika maisha.
KES 250
KES 330

International delivery
Free delivery on orders over KSh
Free click & collect