Sarufi Elekezi kwa Shule za Msingi
by Anduvate K. Mwavali, Zephaniah Mucheria
Sarufi Elekezi Anna Shale za Msingi Kitabu hiki kitaimarisha na kurahisisha ufunzaji wa somo la Kiswahili katika shuk va msingi. Mbali na hayo, kitasaidia katika kuinua matokeo ya mitihani ya lugha ya Kiswahili katika darasa la nane. Hii ni kwa sababu vipengele vyote vya sarufi ya Kiswahili kuanzta darasa la kwanza hadi la vane vimefidulizwa kwa njia rahisi na ya kueleweka. Kitabu hiki kitawafaa walimu na wanafunzi katika kulielewa suala la ngeli na upatanisho wa sarufi kwa njia iliyo nyepesi sana. Vipengele anthavyo vimefafanuliwa kwa kina katika kitabu hiki ni pamoja na:
Maana ya sarufi
Stadi za kusikiliza,
kuongea,
kusoma na kuandika sarufi Aina za sauti za Kiswahili
Mama za uakifishaji Miundo mbalimbali ya sentensi
Aina za nomino na viambishi
Uainishaji wa ngeli na viambishi ngeli Msururu wa Aina za Maneno ya Kiswahili: Nomino. Vitenzi, Virumishi, Viwakilishi, Vielezi, Viunganishi, Vihusishi na Vihisishi, Aina za vishirikishi, Nyakati, hall na kukanusha katika Kiswahili
