Sarufi: Hatua kwa Hatua KWA SHULE ZA MSINGI

by Amina M Vuzo, Felix Ochieng, Fuad Ali, LEila K Abdulmajid


Sarufi:Hatua hula Hatua ktaa Shute za &faring; nj kitabu cha mazoezi ya ziada na marejeleo katika sarufi kwa shule za msingi. Kitabu hiki kimeandikwa kwa ustadi kumsaidia mwanafunzi kupata ujuzi wa sarufi ya Kiswahili hatua kwa hatua. Aidha, kitamwongoza mwalimu kufundisha sarufi hatua kwa hama. 1-liki ni kitabu mwenza kwa kila rnwenye kusaka maarifa ya sarufi. Kitabu hiki kitamfaa sana mwalimu na mwanafunzi kwa kuwa: 

kimeandikwa kwa kuzingatia silabasi nzima ya sarufi ya Kiswahili kwa shule za msingi. maelezo ya sarufi yametolewa kwa lugha rahisi kabisa, hatua baada ya hatua. 

  • sarufi imefafanuliwa kwa nit ambayo itamshilikisha msomaji kufahamu anayohitajika kuelewa. 
  • mifano ya kila kipengele cha sarufi kilichofundishwa imetolewa. 
  • mambo muhimu ya kukumbuka kuhusu sarufi yamewekwa wazi. 
  • Una mazoezi baada ya kila kipengele cha sarufi. 
  • kina mazoezi zaidi mwishoni mwa kitabu. 
  • kina majibu ya maswali yote yaliyotolewa. 
ISBN: 9780195737257 SKU: 2010127000485
KES 719
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect