Sematongo na Hadithi Nyingine

by Yuda Komora


Sematongo na Hadithi Nyingine (Utamu Kolea 6E) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa sambamba na kitabu chochote cha kozi.

ISBN: 9789966498762 SKU: 2010143000422
KES 278
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect