Shambulizi la akina shida

by George Jaramba


Katika mji mmojo ulioko kaskazini mwa jangwa. watu wo Jamii tatu wanategemea maji kutoka kisima kimoja. Maia. maji yanaanza kupotea kisimani kila usiku. Jamii zote tatu zinanyoosheana vidole vya lawama kwa sababu ya tukio hili na ugomvi unazuko kati yao.Tosha. Shana na Pato wanagundua kuwa wako na nguvu za kipekee. Ni wao tu katika Jamii nzima ndio wanaotambuo kuwa viumbe wanaoiba maji ni wa kigeni kutoka sayari kame iliyoko mbali na dunia. Lakini hakuna onayeamini maneno yao. Je, wanaweza kuwakomesha viumbe hawa kunyonya maji yote kisimani na kusababisha vita?

ISBN: 9789966001603 SKU: 2010143000735
KES 378
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review