Shingo ya Mbunge na Hadithi Zingine

Shingo ya Mbunge na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko, bulibuli wa hadithi zilizoandikwa na watunzi wanaoonyesha ustadi wa kuumudu utanzu wenyewe pamoja na ukwasi wa lugha ya Kiswahili. Ni mkusanyiko unaotanda mwanda mpana wa kimaudhui kuanzia ukoloni na taathira zake katika jamii hadi siasa ya mfumo wa soko huria. Huu ni mkusanyiko unaoleta pamoja watunzi wa hadithi fupi kutoka Afrika Mashariki, wanaoinukia katika fani na watunzi waliotopea na kubobea katika uga wa utanzu huu. Shingo ya Mbunge na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko aali uliosheheni tashtiti inayokata, ucheshi unaoburudisha na kugutusha na uhondo unaomfanya msomaji kuutamwa ubora wa utanzu huu unaoinukia.

KES 560

Product Information

ISBN 9789966773234
Author K.W.Wamitila
SKU2010143000098

Leave a product review

or cancel

You may also like

 1. Orodha gani na hadithi nyingine
  Orodha gani na hadithi nyingine
  by Wanga
  KES 465
 2. Vazi la Mhudumu
  Vazi la Mhudumu
  by Iribe mwangi
  KES 522
 3. Mayai Waziri wa Maradhi
  Mayai Waziri wa Maradhi
  by Wamitilia
  KES 410
 4. Zeu na Hadithi Nyingine 7C
  Zeu na Hadithi Nyingine 7C
  by Daniel.O.ONYANGO
  KES 348
 5. Kiti cha Moyoni na hadithi nyingine
  Kiti cha Moyoni na hadithi nyingine
  KES 545