Simu ya Kifo

by Faraji H. H. Katalambulla


Mzee Jacob anakufa kutokana na sigara iliyotiwa sumu... Siku chache baadaye, bintiye Mary anapigwa risasi... Fambo anamjulisha Inspekta Wingo kuhusu vifo hivi. Lakini ni nani huyu Fambo? Kuna uhusiano wowote baina ya vifo hivi na Fambo? 

ya Kifo ni kisa cha upelelezi ambacho taharuki iliyomo itamtia msomaji kiwewe na ari ya kufika hatima! 

ISBN: 9789966440761 SKU: 2010143000248
Out of stock
KES 345

You can get an email alert when this product is back in stock.

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review