Sofia na Mbwa wake na Hadithi Nyingine level 1

by Queenex


Sofia na Mbwa Wake ni hadithi ya kumsisimua kila :mtoto anayependa kuwatunza na kuwalinda wanyama wa nyumbani. Hadithi hii inaeleza jinsi Sofia anajitolea kumtunza mbwa anayepewa na mjomba wake. Kwa usaidizi wa wazazi wake, Sofia anampa mbwa wake matunzo mazuri yanayoifanya afya ya mbwa huyu kuwa bora zaidi. Ni kitabu kinachojumuisha hadithi nyingine zenye msisimko wa aina yake.

ISBN: 9789966141392 SKU: BK00000005211
KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review